Sheria Zinavyokiukwa Zanzibar kwa Kisingizio cha Kuvutia Wawekezaji: ‘Uholela Umetamalaki’
Zanzibar. Wakati ni muhimu kwa Serikali kuachana na ukiritimba ili iweze kuvutia wawekezaji wengi zaidi kutoka ndani na nje ya nchi, utawala wa sheria haupaswi kukiukwa kwa kisingizio cha kuvutia…