Tetesi:CCM kufanya mabadiliko mgombea Urais Zanzibar 2025
Kuna mjadala mkubwa unaendelea kuhusu Uchaguzi Mkuu Zanzibar 2025. Wahafidhina wa CCM Zanzibar inasemekana wameamua Hussein Mwinyi asirudi kugombea kama ilivyo utamaduni wa CCM wa vipindi viwili. Hawa wanaungwa mkono…