Uchumi wa Zanzibar umekosa dira?
Muheshimiwa Hussein Mwinyi umekopa dola milioni 500 kutoka kwenye benki ya biashara ambayo mkopo wake una riba kubwa sana. Baadhi ya pesa hizi bilioni sitini TZ sh. Umejenga uwanja wa…
Muheshimiwa Hussein Mwinyi umekopa dola milioni 500 kutoka kwenye benki ya biashara ambayo mkopo wake una riba kubwa sana. Baadhi ya pesa hizi bilioni sitini TZ sh. Umejenga uwanja wa…
Kwako ndugu Rais Uhusiano wako na mfanyabiashara Jitesh Ladwa ni wa muda mrefu. Binadamu lazima awe na marafiki na hii haki yako Mheshimiwa Rais wala si jambo baya. Isicho haki…
Zanzibar. Wakati ni muhimu kwa Serikali kuachana na ukiritimba ili iweze kuvutia wawekezaji wengi zaidi kutoka ndani na nje ya nchi, utawala wa sheria haupaswi kukiukwa kwa kisingizio cha kuvutia…
Zanzibar. Familia ya kada mkongwe wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Juma Juma Makame ambaye amepotea kwa zaidi ya miaka miwili inahitaji majibu kutoka kwa vyombo vya ulinzi vya Zanzibar, wakieleza…
CCM Zanzibar imeinyooshea kidole Ikulu ya Rais Mwinyi kwa kutumia Ikulu kufanya biashara na ufisadi Zanzibar. Msikilize Mwenezi Khamis Mbeto akielezea. Serikali ya Rais Mwinyi imekumbwa na kashfa kubwa za…
ZANZIBAR: INFLATION in Zanzibar has increased in the last twelve months until September this year, driven by soaring prices of food items and non-alcoholic beverages. “The inflation increased to 7.45 percent…
Mgombea wa ACT Wazalendo Jimbo la Mtambwe ameenguliwa ugombea kwa kisingizio cha kuwa na vitambulisho viwili vya Mzanzibari mkaazi. Huu ni uhuni wa serikali ya Mwinyi kuhadaa CCM wenzake kwamba…
A special sporting events bonanza to be staged for several days in the Isles is currently in the works. The maiden Zanzibar International Sports Festival is expected to be held…
Multipartism in Tanzania has a fascinating history, which teaches us that there are always three relevant political parties at any given time: the ruling party, the main opposition party, and…