Ufisadi ukarabati Uwanja wa Amani Zanzibar ni mkubwa kuliko wa Uwanja wa Mkapa DSM
Fikiria wewe kwa akili zako timamu ... Uwanja wa Mkapa wenye uwezo wa kuchukua watu alfu sitini unakwenda kufanyiwa matengenezo kwa bilioni 31. Uwanja wa Amani hapa Zanzibar wenye uwezo…